HUYU JESU - Mercy Masika featuring Angel Benard






HUYU YESU (This Jesus)
Mercy Masika featuring Angel Benard 
(Kenyan Gospel artists)


Verse 1:
Huyu Yesu si sanamu,
Si mwanadamu adanganye

Ahadi zake zote kweli
Na Amina nimemuona

Na akisema Ndio,
Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya

Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyooo 

Chorus:
Huyu Yesu, huyu Yesu,
Si hadithi mwambie...
[x2]

Verse 2:
Unatangaziwa nini,
Umetabiriwa nini
Maishani mwako mwambie

Unaumizwa na nini,
Je unahofu gani
Uaishani mwako Mwambieeee

Na akisema Ndio,
Hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyooo

Chorus:
Huyu Yesu, huyu Yesu,
Si hadithi mwambie...
[x2]

 Instrumntal interlude with adlibs

Chorus:
Huyu Yesu, huyu Yesu,
Si hadithi mwambie...
[x4]

Outro:
Huyu Yesu, huyu Yesu,
Si hadithi mwambie...
 [x2 in almost acapella style]

Comments

Popular posts from this blog

PAGES OF MY HEART - Owie Abutu

SIFA (Praise) by Alice Kamande

BIGGER EVERYDAY(Live) - Moses Bliss with Festizie, Membrane, Uwa, Chris Heaven & Temple