Wanishangaza (You Amaze Me) - EUNICE NJERI





NWANASHANGAZA 
(You Amaze Me)

Eunice Njeri (Kenyan Gospel artist)

Verse 1:
Every time I take a breath or see sunshine
Streams flowing from up on the high mountain
Far to the far sky I know You are a wonderful God
I think of the many many times I have seen your powerful hands
The miracles in my life how could I live without You

Refrain:
Wanishangaza (x2)
Wanishangaza (x2)
Matendo yako makuu Wanishangaza
Miujaza yako Yesu
Wanishangaza

Verse 2:
Now take my heart, my faith, my trust
Nakupa moyo wangu, na imani nakuamini
Baba nitaomba, nitaimba nitakusifu
Milele nitaomba, nitaimba, nitakusifu
Mungu wa mapendo, mwenye utukufu wote

Refrain:
Wanishangaza (x2)
Wanishangaza (x2)
Yesu Wanishangaza
Wanishangaza
Wanishangaza (x2)

Uuuhu eeeeh (x3)

Outro:
Yesu eh
Wanishangaza (x2)
Yesu Wanishangaza
Wanishangaza
How love me, Wanishangaza
God You’re mindful of me, Wanishangaza
Mimi ni mwanadamu tu, Wanishangaza
Jinsi waniwazie mema, Wanishangaza
Na ukuu wako Yesu we, Wanishangaza
Bwana unavyotawala, Wanishangaza

Fishers' Music got help for lyrics from https://gospellyr.blogspot.com (further editing was done).






Comments

Popular posts from this blog

PAGES OF MY HEART - Owie Abutu

SIFA (Praise) by Alice Kamande

BIGGER EVERYDAY(Live) - Moses Bliss with Festizie, Membrane, Uwa, Chris Heaven & Temple